Monday, July 30, 2012

Leo nimejisikia tu kuwakumbusha mbali wadau....

   Naipenda sana saa ya Mwl, ningekuwa mjukuu wake nikaambiwa nichague cha kurithi ningerithi hiyo saa.

 Hapa akiwa chuo cha Edinburgh, UK alipkuwa akipiga shahada ya uzamili katika sanaa na historia...

                          Hapa namjua Samora Machel tu mwenye madevu huyu wa pili mtanisaidia...

                                                    Hii sijui ni St Joseph 'Pugu'? Sina hakika.

                       Moja ya picha chache ambazo mwalimu alipiga akiwa amevaa suti za kimagharibi.

 Kutoka kushoto ni Sheikh Abeid Karume makamu wa kwanza wa Rais, Rais Nyerere na Rashid Kawawa, makamu wa pili wa Rais. Hapa hata sijui walikuwa wakifurahia kitu gani. Ila huyu Mzee Karume mbona hacheki?

                  Hapa mtajaza wenyewe siwaambii anafanya nini Mwalimu Nyerere.. Lakini hapa hakuwa nchini.

No comments:

Post a Comment