Friday, July 27, 2012

Jamani Shigongo amemfanya nini Joseph Mayanja aka Chameleon mwanamuziki wa Uganda?



Mwanamuziki Joseph Mayanja, maarufu Jose Chameleon akisaidiwa na mashabiki wake katika ubalozi wa Tanzania nchini Uganda katika mtaa wa Shimoni Barabara ya Sita. Chameleon anailalamikia Serikali ya Tanzania juu ya ubabe aliofanyiwa na Erick Shigongo ya kumpokonya Passport yake. Kido Jembe bado haijapata taarifa za uhakika juu ya tukio hilo lakini inaonekana ni kutoelewana katika tamasha lililofanyika hivi karibuni lililofanyika uwanja wa Taifa jijini.

No comments:

Post a Comment