Sunday, July 29, 2012

Hiki ndicho kinachomfanya Kikwete aonekane bora na baadhi ya watu...ucheshi.


Picha hii imepigwa jana na mpiga picha wa Ikulu Freddy Maro, ikimuonyesha JK akimjulia hali kikongwe huyu Antonia Mbagalla mwenye miaka 85, kijijini Msoga kata ya Chalinze (jimbo la zamani la jk alipokuwa mbunge). Mara nyingi JK ikifika Jumapili huenda kwao kuwasalimia wazee...

No comments:

Post a Comment