Saturday, July 28, 2012

Futari a leo

Asallam Alakum,

Ramadhani inakwenda hio waungwana, wapoambao hawafungi, hawasali wala hawafani mambo mema katika mwezi huu mtukufu. Mwezi mmoja ni vijisiku vichache sana mwanadamu kushindwa kujizuia.

Futari ya leo tutapika Mihogo, vitumbua, uji wa ngano, samaki, kachori na chai a maziwa. halafu tupate matunda aina mbili na soda ya aina yoyote. Kawaida soda si nzuri kwa afa,lakini hakuna ubaa kunwa mara moja kwa wakati.

No comments:

Post a Comment