Sunday, July 29, 2012

Wachaga kwa mbege huwawezi....

Kabila la wachaa walikuwa na sherehe yao siku ya jumapili jana, katika viwanja vya leaders Club. Wachaga waishio Dar es Salaam, waliamua kukutana na kuzunumza mambo mawili matatu huku wanagonga mbege.

No comments:

Post a Comment