Friday, July 27, 2012

Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal atembelea chuo kipya cha kumbukumbu ya Nelson Mandela....



Dkt. Bilal, akiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chuo kipya cha Nelson Mandela ‘The Nelson Mandela African Instute Of Science and Technology’, Prof. Burton Mwamila,  leo Julai 27, 2012 akitembelea mazingira ya Chuo hicho kinachotarajia kuanza kusajili wanafunzi hivi karibuni kilichopo Jijini Arusha. Makamu wa Rais ameteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo hicho.


Picha na Muhidin Sufiani Ofisi ya Makamu wa Rais.

No comments:

Post a Comment