Saturday, May 11, 2013

CLOUDS MEDIA YAANZISHA KAMPENI YA “TWENDE ZETU” KWA SEMINA NZITO NA WASANII MJINI DODOMA



4Mtoa mada Zeno Ngowi akizungumza na wasanii katika semina hiyo.6Ndugu Zitto Kabwe akiingia katika ukumbi wa mikutano wa African Dream mjini Dodoma.7Mtoa mada Patrick Ngowi akiingia kwenye ukumbi wa mkutano8Mkurugenzi wa Maendeleo na Utafiti Clouds FM Bw. Ruge Mutahaba akizungumza katika semina hiyo . 9Mkubwa Fella kutoka TMK akizungumza katika semina hiyo10DJ Elly katikati Godzilla kushoto na Izo Busness wakiwa katika semina hiyo.11Benny Kinyaiya akizungumza katika semina hiyo kulia ni Babu Tale na kushoto ni Said Bonge.12Millad Ayo akizungumza na kutoa mchango wake wa mawazo katika semina hiyo.13Anold Kayanda akitoa mawazo yake.14Ibrahim Masoud na washiriki wengine wakiwa katika semina hiyo15Wasiwasi Mwabulamboakitoa mada katika semina hiyo.16Dj Fetty akitoa mchango wake17Afande Selle akiwa na wasanii wenzake katika semina hiyo.18Khamis Mandi B. 12 akitoa mchango wake katika semina hiyo.19Moungozaji wa semina hiyo Gerald Hando akizungumza na wasanii mbalimbali katika semina hiyo.20Shafii Dauda na Diva wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA FULL SHANGWE BLOG.

No comments:

Post a Comment