Sunday, May 12, 2013

Wigan wanyakua kikombe cha FA kwa mara ya kwanza... Yaiduwaza Man City jana.

                                           Mwari akiwasili uwanjani jana chini ya ulinzi mkali.

 Golikipa wa Man City akiruka bila  mafanikio huku Kun Aguero akishindwa la kufanya wakati ngoma ikitinga wavuni dakika ya 84.

Ben Watson akishangilia bao lake la ubingwa wa FA Dk 84


Makocha wa Wigan na Man City dakika chache kabla ya mwamuzi wa jana kumaliza mchezo na Wigan kuwa mabingwa wa FA kwa mara ya kwanza jana.

No comments:

Post a Comment