Tuesday, May 14, 2013

Inapobidi kusaidia, uongozi hukaa pembeni...


Katibu wa itikadi na uenezi chama cha mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akimsaidia dereva wake kubadili tairi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata hitilafu eneo la Isuna njiani kuelekea jimbo la Igunga. picha kwa hisani ya full shangwe.

No comments:

Post a Comment