Mwafrika halisi lazimaajue kucheza ngoma za asili na kuuvaa uhusika kama hivi, Hili lilikuwa tamasha lautamaduni chuo cha kimataifa KIU- Kampala.
Jembe langu hili Evans Musoka wa Luseno, Mkenya Halisi. Alipokuja kunitembelea Dar es salaam alishangazwa na thamani ya pesa yetu kuwa chini. Kenya ukiwa na 1000 wewe sonko, ila Bongo mmhhhh
Mganda huyu katika tamasha la utamaduni KIU
Kaka yake eddy Shssy huyu jamani anapenda raahahaaa.. asiemjua na anatoka Tanga asiseme na mimi. msemo wake maarufu, 'halua wewe unakatwa tu'


No comments:
Post a Comment