Sunday, July 22, 2012

Jana habari hii niliikosa wadau, nikaidaka kwa swahiba yangu Mjengwa.......

 Mkurugenzi wa Halmashauri – Arusha Mjini
Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Jose Manuel Barroso wakishuhudia utiaji saini makubaliano ya msaada wa fedha Euro milioni 126.5, Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Utiaji saini ulifanywa na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa (kulia) na Mjumbe wa Maendeleo wa EU, Andris Piebalgs (kushoto). Msaada huo ni kwa ajili ya matengenezo ya barabara zaidi ya Kilometa 200, upatikanaji wa maji kwa watu 500,000 na kuimarisha mfumo wa maji na usafi kwa watu 140,000 Tanzania.


(Cheko la matumaini) Hapa Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Jumuiya ya Ulaya (EU) Jose Manuel Barroso Ikulu jijini Dar es Salaam Ikulu jana.

No comments:

Post a Comment