Monday, July 16, 2012

Jembe katika viunga vya idara ya habari MAELEZO leo. Huwa napendelea kupita pande hizi nikiwa mpweke.

 Hawa wote ni wanahabari wakitafakari pa kuenda, leo mjini kumekauka ndiyomaana wameonekana kwa wingi kijiweni leo.

 Kila mmoja akimshangaa mwenzake alivyojaa kitumbo. Hao ni Chalila (Tanzania Daima) na kimwanga (Mtanzania), nilikuwa nao chuoni TSJ. Hao ni waandishi nguli si mchezo. majembe hayo.

hapa nikiwa bondeni Beach Hotel nikipata staftai na jembe langu Kimwanga.

No comments:

Post a Comment