Hivi jamani kweli tunaweza kupeleka watoto wenye uelewa wa Dunia katika hatua ya Sekondari? Nakumbuka wakati naanza Sekondari kuna vitu vingi sikuwa nikivijua, yote hii inatokana na mazingira mabovu niliyoandaliwa nikiwa shule ya msingi.
Picha na: http://hakielimu.blogspot.com
No comments:
Post a Comment