Sunday, July 15, 2012

Jk Ethiopia..


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria kikao cha Ulinzi na Usalama cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia. Kulia ni Rais Robert Mugabe wa Zimbabbwe.

Picha kwa hisani ya Freddy Maro- Ikulu.

No comments:

Post a Comment