Sunday, July 22, 2012

JK leo yupo mjini Mbeya, hapa ni maeneo ya Nzovwe, wananchi wakisubiri kumuona japo ndani ya gari Rais wao. Kila siku wanafaudu watu wa Dar es Salaam tu... khaaaaaaa.

Picha kwa hisani ya Said Ramadhan Mdee.

No comments:

Post a Comment