Mtunda muhimu, ila kwa mwezi huu mgekuwa mnauza jioni ama 'take away' Mtaa wa samora huu leo mchana.
Nimeupenda huu utaratibu wa kuwatengenezea wadau wa Manzese daraja la dharura, barabara ya Morogoro ipo katika ukarabati kupisha nafasi ya mabasi yaendayo kasi, hivyo njia imechimbwa na wakaazi wa jijini walikuwa wanapata tabu kuruka mitaro.
Hivi ndivyo uwanja maarufu wa jangwani ulivyo kwa sasa.Hiki kitakuwa kituo cha daladala, na huku mbele kunaendelea kujengwa hata sijui wanataka kujenga nini.Hakika hakuna kinachoshindikana kwa wanaoijua Dar es Salaam na uwanja huu watakumbuka Rais mstaaf Ben Mkapa alitaka kujenga uwanja wa mpira wa miguu hapa watu wakasema haiwezekani. Kiko wapi.
Leo mjini kumenyesha mvua...
Mchana huu hata akija mteja anahudumiwa kivivu.Swaum ama kuchoka tu.
No comments:
Post a Comment