Hakuna kosa ikiwa Serikali yetu inaombaomba hata sisi hakuna haja ya kujificha. Utamaduni huu.
Mate yamenijaaje?
Ubungo maji hii, siku ya jumamosi kunajaa balaaa. Ati wengine ni majini..mhhhh
Utamaduni wa kupakizana katika mtarimbo unaonyesha ni namna gani watanzania tunapendana..
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini mabus makubwa yanaenda mbagala tu?
No comments:
Post a Comment