Ndugu zangu,
Kwakuwa gazeti letu la Raia Mwema, linatoka kila jumatano mara nyingi siku ya jumatatu na jumanne nakuwa mbio sana kutafuta habari za ofisini kuliko za blogu yangu.
Hivyo nitatoka kidogo kuelekea mjini na nikirudi nitaendele kuwa nanyi nyakati za mchana. na mtegemee picha nyingi za wadau na hakika kamakutakuwa na habari za kiserikalipia mtafaidi....
No comments:
Post a Comment