Timu ya Taifa ya Olimpiki inaondoka leo kwenda nchini
Uingereza kushiriki michezo ya 30 ya Olimpiki itakayofanyika jijini London .
Wachezaji watakaoondoka ni pamoja na wanariadha Samson
Ramadhan, Mohamed Msindoki, Faustine Mussa (marathon) na Zakhia Mrisho anayekimbia
mita 5,000.
Pia Bondia pekee katika safari hiyo ni Seleman Kidunda, kwa
upande wa kuogelea utawakilishwa na Magdalena Moshi.
Picha na Habari kwa hisani ya Mjengwa Blog..

No comments:
Post a Comment