Friday, August 17, 2012

Huyu ni Jonathan Titto, jembe langu hili nilisoma nae Bombo Primary School ila yeye alinitangulia darasa moja. Alimaliza mwaka 1997 mimi 1998. Baadae tukakutana tena kazini New Habari mwaka 2010. Kwa sasa amenifata tena yeye yupo gazeti la Super Star nami nipo Raia Mwema ambapo magazeti yote yapo jengo moja la Millenium Business Park Shekilango. Kwa miezi miwili sasa kumbe tupo jengo moja ndiyo tumeonana leo. Mwanamichezo huyu..


No comments:

Post a Comment