Monday, August 13, 2012

Jembe likiwa kikazi zaidi.....


Huyu ni Bakari Kimwanga mwandishi nguli wa gazeti Mtanzania, ameanzia mbali sana. Hapa anatoa maelekezo kwa waandishi wa habari za Nyanda za Juu Kusini namna ya kuyatambua maeneo ya kuhesabia watu katika ramani wakati wa sensa itakayofanyika mwaka huu. 

Hii ni semina ya siku tatu iliyofanyika mkoani Iringa na kufungwa jana na RAS (Mkuu wa mkoa) wa Iringa Getruda Mpaka, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Ruaha.

No comments:

Post a Comment