Monday, August 13, 2012

Kikoloni (kizungu) kitu gani bwana?

Huyu ni ndugu yangu bwana Dickson, alikuwa katibu wangu katika chama cha Watanzania wasomao KIU. Hapa akiwa nchini Sweden alipokwenda kutumikia watanzania katika masuala ya mabadiliko ya tabia nchi. Kitaaluma bwana huyu ni mwalimu, tazama mkono wake ulivyokaa kikushika chaki.

Tegemeeni picha nyingi na taarifa (mrejesho) wa safari yake ndugu huyu. Mtumishi wa Mungu bwana kakwea pipa mpaka ughaibuni..... Hapo anaongea kikoloni bila kumun'gunya, halafu mnasema wabongo hawajui kikoloni, mtasubiriiii...

No comments:

Post a Comment