Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue akibadilishana mawazo na wafanyakazi wa banda la mfuko wa jamii wa PSPF wakati Balozi Sefue alipotembelea banda lao leo. Kesho tarehe nane mwezi wa nane ndiyo itakuwa kilele cha sikukuu hiyo kitaifa nchini ambapo itafanyika mjini dodoma.
Nane nane ni sikukuu ya wakulima ambapo inasherehekewa tarehe nane mwezi wa nane kila mwaka. Lengo likiwa ni kuamsha ari ya wakulima na wafugaji nchini kuwa wamoja na kupenda kazi zao..
No comments:
Post a Comment