Hebu nisaidieni wajameni, hii Kipande ni sifa ya huyu dalali ama ni jina lake.Maana nimebaki njia panda.
Hili limekaaje jamani, Mzigo mzito amebaba 'wifw' na mtoto amebeba 'husband' ...!!!???
Tunakaririshwa kuwa hivi vitakuwa vituo vya mabasi yaendayo kasi ila mpaka sasa sipati picha.
Msiangalie maembe ila someni hilo tangazo na mnisaidie wingi wa neno 'barafu.'
Mtaani kwetu huwezi kuongea na simu kama hujashikilia mahali, ama sivyo 'network' haipatikani.
Hapa ni mtaani kwetu kabisaaaaa, nyumba yetu ipo kushoto hapo. Lakini nguzo ya TTCL inataka kuanguka sijui wenyewe wanazo taarifa?
Hebu nisaidieni kutafsiri picha hii, hao ni wafanyakazi wa tigo.







No comments:
Post a Comment