Habari za wakti huu wapenzi waheshimiwa mabibi na mbwana,
napenda kuwatambulisha kwamba kama kawaida katika TAM TAM ZA MWAMBAO Jumapili
hii kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 6 mchana kupitia East Africa Radio
itaendelea kuunguruma na kuleta raha kwa wasikilizaji kupitia segment yake hiyo.
Usikose kujishebedua ndani ya TAM TAM ZA MWAMBAO, Kadhalika kuna KIJAMVI kitakacho kujuza habari mbalimbali za wasanii na vikundi kwa ujumla.
Lakini pia zilipendwa itarudisha kumbukumbu zako za nyumaa na jumapili nitatoa fursa kwa kwa kuwapa nafasi watu wawili tu kwa ajili ya kupiga simu kuniambia anakumb uka wapi nyimbo baada ya kuisikia nyimbvo husika. lakini pia katika utapata kujua historia ya msanii husika Karibuni 87.8 EAST AFRICA RADIO ALL HITTS.

MWANNE OTHMAN SEKURU

No comments:
Post a Comment