Friday, July 20, 2012

JK ziarani Zanzibar pamoja na jembe lake gharib Bilal...

 Hapa JK akizungumza na Rais wa Zanzibar pamoja na Dk Gharib Bilal makamu wa Rais. katika picha hii napata furaha kuona hao jamaa wawili ambao wote ni madoktori wameshakuwa makamu wa Rais chini ya JK kwa vipindi tofauti. Kabla ya Dk Gharib Bilal, makamu wa Rais wa JK alikuwa Dk Shein ambae kwa sasa ni Rais wa zanzibar.

                                   JK akipiga sala ya ijumaa ZNZ pamoja na jembe lake Dk Bilal...

No comments:

Post a Comment