Thursday, July 12, 2012

Kamera yetu leo ...

                                            Usije mjini...............................

 Nakumbuka nikiwa darasa la saba kwa siku tunasoma masomo kama matano hivi, pia lazma ubebe vidum vya maji na fagio.

 Kwa mbaali namuona Edward Ngoyai Lowassa miaka ya thamanini hii. Zipo taarifa utajiri wake aliupata kwa kupewa tenda ya kuiuzia serikali magari, na ujanja huo alipewa na aliekuwa Waziri mkuu Ndugu Malecela. Kama naanza kuamini vile.

Lushoto hii, jamani nchi yetu nzuri. Kwa pamoja tuimbe ule wimbo wa tazama ramani.......

No comments:

Post a Comment