Ndugu zangu
Taarifa tulizozipata punde kutoka taarifa ya TBC1 ni kuwa kesi ya aliekuwa balozi wa Tanzania nchini Italy Prof Mahalu, imeahirishwa mpaka tarehe 9 mwezi ujao baada ya hakimu aliekuwa akisimamia kesi hiyo awali kurudi, hivyo kumfanya hakimu aliekaimu kesi hiyo kumwachia kuweza kuendelea na shauri hilo.

No comments:
Post a Comment