Friday, July 13, 2012

Kikwete katika round table meeting, London. Jamani msiseme Rais wetu anapenda kusafirisafiri, mara nyingine hufanya mambo ya msingi akiwa nje.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika kikao maalumu cha maandalizi ya mkutano wa Commonwealth Partnership for Technology Management (CPTM) kwenye makao makuu ya CPTM inayojiandaa kwa mkutano wake mkuu wa Global 2012 International Smart Partneship Dialogue unaotarajiwa kufanyika mwezi Mei Mwakani jijini Dar es salaam.


chanzo: Ikulu

No comments:

Post a Comment