Friday, July 13, 2012

Kikwete akutana na kamati ya ulinzi na usalama akiwa London. Kamati hiyo inaongozwa na swahiba wake wa siku nyingi Edward Lowassa.

                                 JK na Lowassa wakiingia katika mkutano, London.

JK akipata picha ya pamoja na wabunge na wanakamati ya ulinzi na usalama walipokutana London.

JK akiteta na akamati ya bunge ya ulinzi na usalama walipokutana kwa bahati wote wakiwa na ziara London.

No comments:

Post a Comment