Sunday, July 15, 2012

Kura za Kugombea uenyekiti na makamu kwa timu ya Yanga zinaendelea kuhesabiwa huko diamond jubilee. Nitawapa taarifa kamili kesho asubuhi. Jembe amechoka sasa....

 Mgombea nafasi ya uenyekiti klabu ya Yanga, John jambele akifuatilia kwa makini kura zake zisiibiwe, leo usiku Diamond Jubilee hall.

 
Waandishi wa habari hawa wakifuatilia kwa makini uchaguzi wa Yanga leo usiku. Nawaona majembe yangu Abdul Mohammed wa Clouds (shati jeupe), Deus Mhagale New Habari (alievaa kamera), pembeni kule namuona dada Timzoo Kalugira (New Habari) pembeni ni dada mwingine wa (New Habari) ila jina lake limenitoka kidogo. Majembe haya yapo kazini hawalali mpaka kieleweke.
(Picha kwa hisani ya Bin Zubery)


No comments:

Post a Comment