Na Prince Akbar
Timu zilizoingia hatua
hiyo ni Azam FC ya Dar es Salaam, JKT Ruvu ya Pwani, Mjini Magharibi ya Zanzibar , Coastal Union
ya Tanga na Bishop Dunhill na Rollingston za Arusha.
Robo Fainali zote
zitachezwa Jumanne katika viwanja viwili tofauti, Aigle Noir ya Burundi
ikimenyana na JKT Ruvu, Ecofoot ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
ikimenyana na Bishop Dunhill Uwanja wa Gisenyi, wakati Azam FC itamenyana na
Mjini Magharibi, Rollingston na Coastal Union Uwanja wa Nyanza.
Mechi za kwanza
zitachezwa saa 7:00 mchana na za pili zitachezwa saa 9:00 alasiri.
ROBO FAINALI
ROLLINGSTON:
(Julai 17, 2012)
Aigle Noir (Burundi ) v JKT
Ruvu
Azam FC v Mjini
Magharibi
Rollingston v Coastal
Union
Ecofoot (DRC) v Bishop
Dunhill (Arusha)
No comments:
Post a Comment