Monday, July 9, 2012

Leo nikiwa mtaani nimekutana na jembe langu nililosomanalo kampala.


huyu ni Ishaq Mgude, Jembe langu hili nalo lilikuwa kampala chuo kimoja na jembe. Nae ameshakuwa mwanakijiji anasubiri kuhitima pamoja na jembe mwezi wa 11 mwaka huu Mungu akijaalia.

No comments:

Post a Comment