Chama Cha Madaktari TZ, Chawasilisha Maombi UN Ya Ulinzi
Kwa Viongozi Wake:
Mchana wa leo, Jumatatu,
Julai 9, 2012 Chama Cha Madaktari (MAT) kimewasilisha maombi ya ulinzi kwa
Viongozi wake na Dkt. Ulimboka (mwanachama wao) kwa Uongozi wa Umoja wa Mataifa
(UM). Nakala ya barua hiyo imepachikwa hapa.


No comments:
Post a Comment