Monday, July 9, 2012

Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Motlanthe, azungumza na vijana juu ya maendeleo ya Afrika.

 Motlante akiondoka ukumbi mdogo wa Diamond Jubilee huku akisindikizwa na Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Prof Mkandara leo jioni.

 hapa akiingia ukumbini kuzungumza na vijana juu ya masuala ya kimaendeleo katika bara la Afrika, huku akigusia kwa undani juu ya mradi wa SOMAFCO ulioanzishwa na nchi hiyo katika kuhakikisha nchi za Afrika zinapata elimu ya manufaa.


No comments:

Post a Comment