Ndugu zangu
Napenda kutoa shukurani zangu
za dhati kwa wadau wa blogu hii ya kijamii. Mwitiko umekuwa mkubwa tofauti na
matarajio yangu. Kutoka mtu mmoja kwa siku mpaka watu 200 kwa siku si jambo
dogo.
Jana blogu yangu ilitembelewa
na watu 238, leo mpaka ninapoandika shukrani hii saa kumi alasiri nilikuwa
nimetembelewa na wadau wasiopungua 150. Si haba wajameni muda si mrefu nitaanza
kutembea na bahasha ya kuomba wadhamini.
Hivyo kama una kijikampuni
chako usisite kunipa kijitangazo ili na mimi nipate chochote kitu niachane na
umasikini, mnakumbuka niliwaambia kuwa umasikini hauna adabu?
Mpaka sasa nina wadau 1829,
ni kijiji hicho jamani ama sivyo?
HAFIDH KIDO
0713 593894/ 0752 593894
DAR ES SALAAM , TANZANIA .

No comments:
Post a Comment