Msishangae sana jamani ametumwa dukani kununua mkate tu kijana..... Huku ndiko tunakoelekea watanzania. Siku hizi ukiwa na laki moja haikai kwenye pochi, lakini ukianza kuitumia haizidi saa mbili imeshaisah, na kwa wanaojua matumizi akikaa kikao kimoja laki imeisha. Ndiyo maana watoto wa Darisalame wanasema 'Dar laki si pesa.'
No comments:
Post a Comment