Saturday, July 14, 2012

Mtoto wa mcheza sinema za kibabe Silverster Stallen (Rambo), Sage Silverster (36) amekutwa amekufa chumbani baada ya kutumia kiasi kikubwa cha dawa za kulevya.

 Hapa sage akitaniana na baba yake miaka ya tisni hii. Inasemekana alishawahi kuigiza filamu moja akiwa nae.

                                           Sage mwenye miaka 36, mtoto wa Rambo aliekutwa amekufa.

Sage akiwa na baba yake na mkewe wakati wa uzinduzi wa moja ya filamu za baba yake.

No comments:

Post a Comment