.
Saturday, July 14, 2012
Tabata hii...
Zamani mitumba mpaka ukaifuate Kariakoo au Manzese,lakini mpaka wa tabata wanaletewa nyumbani. Sagura sagura mtaani.....
Mara ya mwisho kumuona kuku kinyavu ni lini? Kuku hawa ni adimu sana hasa kipindi hiki cha kuku wa kizungu.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment