Saturday, July 14, 2012

Ndugu zangu





Poleni leo nilikuwa na shughuli nyingi mpaka nikasahau kama nina tui jikoni. Nimewatupa kidogo maana nilitakiwa kutimiza baadhi ya shughuli za kijamii na sina utaratibu wa kutembea na kompyuta yangu ndogo maana sina usafiri binafsi. hivyo nawaomba radhi kwa kuchelewa kuwasiliana na mimi leo.

maana nilitakiwa kuhudhuria misa ya kutimiza mwaka mmoja tangu kufariki rafiki yangu niliekuwa nikisoma nae nchi jirani. Kadhalika nilitakiwa kumtembelea shangazi yangu huko Tabata, kadhalika usafiri wa daladala siku ya leo ulikuwa mgumu sana. Hivyo kunifanya kuchelewa kupita kiasi.

HAFIDH KIDO
0713 593894/ 0752 593894
DAR ES SALAAM, TANZANIA
hafidhkido@yahoo.com

No comments:

Post a Comment