Thursday, July 12, 2012

No Tittle..

 Hii ni Bait al Ajaib nyumba ya maajabu. Ndiyo ghorofa ya kwanza kuwa na lifti Africa mashariki na kati. Ipo Ngome kongwe Zanzibar.
                                        African hair cutting salo...n
Huyu anaitwa Marry Victor, jembe langu hili la Raia Mwema. Waandishi ni wawili tu mimi na yeye wa tatu wetu Mhariri Gedfrey Dilunga. Jembe hapa lipo kazini likiandaa mambo...

No comments:

Post a Comment