Thursday, July 12, 2012

Simba taifa kubwa.

Waziri asiye na Wizara maalum Zanzibar, Machano Othman Said akimkabidhi kombe la ubingwa wa michuano ya Urafiki nahodha wa timu ya Simba Juma K. Juma mara baada ya timu ya Simba kuifunga timu ya Azam FC magoli 5-3 kwa penati, baada ya kutoka suluhu magoli 2-2 katika kipindi cha dakika tisini, kwenye mchezo mzuri na wa kuvutia kwa timu zote uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa hivyo kuifanya Simba kuibuka mabingwa wa kombe.
chanzo: mjengwa blog

No comments:

Post a Comment