Thursday, July 12, 2012

Ommar huyu, jembe langu kutoka Tanga Barabara ya tisa, na mimi natoka barabara ya 6. Nilikutana nalo sinza Dar es Salaam katika mnuso wa biriani mwezi uliopita.... Harusi moja ya wasomali na Ommar ni msomali.... Jibu ni....


No comments:

Post a Comment