Spika wa Bunge la
Tanzania Anne Makinda, ambaye ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT akisalimiana na
Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Jose Manuel Barroso, alipowasili
Hospitalini hapo jana kujionea shughuli za Hospitali hiyo. Serikali ya Tanzania na Umoja wa Ulaya umekuwa ukiichangia
fedha nyingi hospitali hiyo. Anaefanya
utambulisho ni Dk Wilbrod Slaa, ambae ni mwenyekiti wa bodi ya hospitali
hiyoambae pia ni katibu mkuu wa chama cha siasa cha chadema.
Huu
ni pango wa Upanuzi wa Hospitali ya CCBRT.
No comments:
Post a Comment