Thursday, July 12, 2012

Semina ya wanahabari Dodoma.

Jembe langu Godfrey Dilunga mwenye fulana nyeupe ya Raia Mwema akibadilishana mawazo na naibu waziri wa Habari Amos Makala, jana katika chuo cha mipango mjini Dodoma katika semina ya sensa kwa wanahabari. Godfrey Dilunga ni Mhariri wa gazeti la Raia Mwema ambalo mimi jembe lenu nipo kikazi kwa sasa, nikitokea magazeti ya The African na Rai.

Hii ni picha ya pamoja viongozi wa Sensa na wahariri wa vyombo vya habari nchini. Wahariri na waandishi nguli wa habari wapo mjini Dodoma kwa semina ya siku tatu juu ya kushiriki zoezi la kuhesabu watu nchini litakaloanza mwezi ujao mwaka huu.

No comments:

Post a Comment