Hapa Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Slaa,akimkabidhi baadhi ya nyaraka muhimu za kimaendeleo katika wilaya yake.
Hapa Rais Kikwete akiwaaga viongozi wake wa Wilaya ya Ilala, Jerry Slaa kushoto Mstahiki Meya Ilala na naibu wake kulia Kheri Kessy Ikulu jana. Kumbuka Kikwete akiwa Ikulu anakuwa mwananchi wa kawaida na nyumba yake hiyo ipo wilayani Ilala kata ya Magogoni, hivyo kimsingi hawa ni viongozi wake....
No comments:
Post a Comment