Friday, July 20, 2012

vijipicha vya leo....ahaaaaa vyote vya kuiba....

 Hawa ni majembe ya New Habari Ltd. Waandishi nguli hawa usifanye mchezo, wa kwanza kutoka kushoto ni Dennis Luambano, dada Elizabeth Mjata na Bakari Kimwanga. hapa wanaangalia makala walizoandika.

Mnamjua huyu? Anaitwa Khadija Yusuf, mwimbaji na dada wa mmiliki wa band ya taarab ya Mzee yusuf. Ameolewa jamaniiiiiiiiiii......


No comments:

Post a Comment