Wednesday, July 11, 2012

Wamba hawa...

 Mwamba Abbas akiwa na Mkurugenzi wa Gusagusa Foni Chupa, katika kambi ya band hiyo.

 Jembe akiwa na Mkurugenzi wa Gusagusa Foni Chupa, Mitaa ya magomeni hii.

 Huyu ni mpapasa kinanda mahiri wa Band ya Gusagusa, anatisha..

 Wamba wakila migogo ya kukaanga, maeneo ya magomeni kunauzwa mihogo mizuuuri nyakati ya jioni.

Huyu dada aligoma kupigwa picha,lakini alisahau 'principal' moja ya picha kuwa picha ni mwanga...

No comments:

Post a Comment