Friday, July 13, 2012

Wazungu wanita 'house warming' ila sisi watanzania tunaita 'kufungua nyumba'. Nyumba ya dada Ipty tumeifungua usiku huu. Mahanjumati ya haja na dua nyingi za kutosha tu. Mungu atamfungulia kila lenye kheri na yeye na wenye husda watakuwa mbali nae.

 Hapa dada Tima Shossy akiandaa mapokopoko manjali ya kuhakikisha sisi maustadh hatufeli.

 Dada Ipty nae hakuwa nyuma alifanya kila linalowezekana kuhakikisha maustaadh wanapiga dua ya uhakika.

 Hapa ustaadh nimeshapiga dua Jembe ninasubiri mahanjumati, yaani aliekosa ajue mserereko hauna take away.
                                      Hapa nanawa kuhakikisha nakula kwa nafasi.

Photo speaks 1000 words.............. jembe kazini. Napiga matonge we acha tu. Usinione mwembamba naweka....

No comments:

Post a Comment