Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akiwasili jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa
wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo jioni.Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini
Ethiopia Mhe.Joram Biswaro Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.
Picha na Ikulu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada
ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa
Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika AU leo
jioni.
No comments:
Post a Comment